Kundi la Sauti Soul Kuvunjika


Kundi la muziki kutokea nchini Kenya, Sauti Sol limetangaza kuwa litavunjika kwa muda mara baada ya kumalizika kwa ziara yao ya kimataifa.

Katika taarifa yake kwa umma Jumamosi hii, wamesema ziara yao katika nchi za Marekani, Ulaya na Canada ni fursa kwa mashabiki wao kujumuika nao kwa mara ya mwisho.

cc @sautisol

#avmediaupdates #avmediainfos #breaknews #radio #vpl #epl #tmz #netflix #tv #youtube #habari #bongofleva #bongomovie #muziki #movie #Tanzania #Kenya #uganda #burundi #rwanda

 

Comments

Popular posts from this blog

Lavalava kujiunga na Aftermath Entertainment na kuondoka WCB

BAADA YA KUWA ‘MNYONGE SANA’ …PHIRI KUWA CHINI YA UANGALIZI MAALUMU SIMBA