Diamond Platnnumz, Alikiba, Harmonize, Sauti Sol Waletewa tuzo zao

 Waandaaji wa Tuzo za Magic Vibes Awards wamezungumza na wana habari leo wakieleza kuleta tuzo kwa wasanii walioshinda baada ya kutangazwa washinndi.


Tuzo hizo ambazo zinaanndaliwa nchini Marekani Texas ni maalumu kwa ajili ya wasanii kutoka Afrika Mashariki.

Miongoni mwa wasanii walioshiriki ni Diamond Platnnumz, Alikiba, Harmonize, Sauti Sol na wengine.




Comments

Popular posts from this blog

Lavalava kujiunga na Aftermath Entertainment na kuondoka WCB

Kundi la Sauti Soul Kuvunjika

BAADA YA KUWA ‘MNYONGE SANA’ …PHIRI KUWA CHINI YA UANGALIZI MAALUMU SIMBA