Mayele Hauzwi, Yanga Yaweka Masharti Maguma

 

UONGOZI wa Yanga umetamka kuwa mshambuliaji wao Mkongomani Fiston Mayele hayupo sokoni lakini wapo tayari kukaa meza moja kwa klabu zinazomuhitaji kwa ajili ya mazungumzo.

Aliongeza kuwa kabla ya kuanza mazungumzo hayo ya Mayele na hizo klabu, kikubwa wafahamu kuwa dau la Mayele hivi sasa linafikia zaidi ya Sh 5Bil ambazo zitawashawishi wao wamuachie mshambuliaji huyo. #Yanga #Mayele #AZIZK

Comments

Popular posts from this blog

Lavalava kujiunga na Aftermath Entertainment na kuondoka WCB

Kundi la Sauti Soul Kuvunjika

BAADA YA KUWA ‘MNYONGE SANA’ …PHIRI KUWA CHINI YA UANGALIZI MAALUMU SIMBA